Tuesday, August 16, 2011

METHALI ZA KISWAHILI


Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo. It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this way in this proverb, otherwise it would be - a foreigner)
Adhabu ya kaburi, aijua maiti. The torture of the grave is known only to the dead.

Ahadi ni deni. A promise is a debt.

Aibu ya maiti, aijua mwosha. Only a Moritician knows the real shame of the dead. No man is a hero to his wife.

Akiba haiozi. A reserve(savings) does not decay.

Aisifuye mvua, imemnyea. He who praises rain has been rained on himself.

Ajidhaniye amesimama, aangalie asianguke. He who thinks he is standing should be careful he doesn�t fall.

Akiba haiozi. A reserve does not decay.

Akikaanga, tu chini ya gae. When he fries, we are under the frying pan. (Somebody always finds out a secret)

Akili ni mali. Cleverness is wealth.

Akili ni nywele; kila mtu ana zake. Reasoning is like hair, every person has his own.

Akili nyingi huondowa maarifa. Too much wit diminishes wisdom. Too much thought overlooks the wisdom.

Akipenda, chongo huita kengeza. If he loves, he will call a one-eyed person a squinter. (Love is blind)

Akumulikaye mchana; usiku akuchoma. He who shines a light on you during the day, sets fire to you during the night. (shows your inconsistencies and destroys your reputation at night)
Akupaye kisogo si mwenzio. He who turns his back on you is not your friend.


Akutendaye mtende; mche asiyekutenda. Harm him who harms you and fear him who harms you not.

Alalaye usimwamshe; ukimwamsha, utalala wewe. Don�t awake the asleep; if you awake him, remember you too will sleep.

Alisifuyejua, limemwangaza. He who praised the sun, now has the sun shining on him.

Aliyekando, haangukiwi na mti. He who stays to the side will not be hit by a falling tree.

Aliyekupa wewe kiti, ndiye alinipa mimi kumbi. He who gave you a chair(throne) is the one who gave me a coconut husk. (Do not despise me because of my station in life)

Aliyetota, hajui kutota. He who has drowned, does not know how to drown. (If you have nothing, you know not poverty)

Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Peace is not possible except by the point of a sword.

Amnyimae punda adesi, kampunguzia mashuzi. He who withholds lentils from a donkey, reduces the donkey�s farts.

Ana hasira za mkizi. He is as angry as a cuttlefish(fish which jump out of the water and land on the boat or beach, killing itself). (Out of the frying pan and into the fire)

Anayekataa wengi ni mchawi. He who does not like crowds(company) is a sorcerer.

Anayekuja pasina hodi, huondoka pasina kuaga. He who comes without asking to enter, will leave without saying goodby.

Anayeonja asali, huchonga mzinga. He who tastes honey will build a hive.

Anayetaka hachoki; hata akichoka kishapata. He who wants does not tire; when he tires he has what he wants.

Friday, August 12, 2011

Methali


1. Adhabu ya kaburi aijua maiti, The  touture of the grave is only known by the corpse
2. Akiba haiozi, A reserve will not decay
3. Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on.
4. Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom
5. Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does not admit defeat is not a sportsman
6. Atangaye na jua hujuwa. He wanders around by day a lot, learns a lot
7. Asiye kuwapo na lake halipo. If you are absent you lose your share
8. Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo. Shark is the famous one in sea the but they many others
9. Baada ya dhiki faraja. After hardship comes relief.
10. Baniani mbaya kiatu chake dawa .An evil Indian but his bussiness is good.
11. Bendera hufuata upepo. A flag follows the direction of the wind.
12. Bilisi wa mtu ni mtu. The evil spirit of a man is a man.
13. Chamlevi huliwa na mgema. The drunkard's money is being consumed by palm-wine trapper.
14. Chanda chema huvikwa pete. A handsome finger gets the ring.
15. Chombo cha kuzama hakina usukani. A sinking vessel needs no navigation.
16. Chovya - chovya yamaliza buyu la asali. Constant dipping will empty goud of honey
17. Dalili ya mvua mawingu. Clouds are the sign of rain
18. Damu nzito kuliko maji. Blood is thicker than water
19. Dawa ya moto ni moto. the remedy of fire is fire
20. Dua la kuku halimpati mwewe. the curse of the fowl does not bother the kite.
21. Fadhila ya punda ni mateke. Gratitude of a donkey is a kick.
22. Fimbo ya mbali hayiuwi nyoka. A wepon which you don't have in hand wont kill asnake.
23. Fuata nyuki ule asali. Follow bees and you will get honey
24. Fumbo mfumbe mjinga mwerevu huligangua. Put a riddle to a fool a clever personwill solve it
25. Gnda la mua la jana chungu kaona kivuno. The skin of yesteday's sugarcane is aavest to an ant.
26. Hab na haba hujaza kibaba. Little by little fills up the measure.
27. Hapana marefu yasio na mwisho. They is no distance that has no end.
28. Hakuna siri ya watu wawili. They is no secret between two people.
29. Haraka haraka haina baraka. Hurry hurry has no blessings
30. Hasira, hasara. Anger brings loss(Damage)
31. Heri kufa macho kuliko kufa moyo .It is better to lose your eyes than to lose your heart.
32. Heri kujikwa kidole kuliko ulimi. Better to stumble with toe than toungue.
33. Hiari ya shinda utumwa. Voluntary is better than force .
34. Hucheka kovu asiye kuwa na jeraha. He laughs at scar who has received no wound.
35. Ihsani (hisani)haiozi. Kindness does not go rotten.
36. Ikiwa hujui kufa,tazama kaburi. If you don't know death look at the grave.
37. Jina jema hungara gizani. A good name shines in the dark.
38. Jino la pembe si dawa ya pengo. An ivory tooth is not cure for the lost tooth.
39. Jitihadi haiondoi kudura. Effort will not counter faith.
40. Jogoo la shamba haliwiki mjini. The village cock does not crow in town.
41. Kafiri akufaye si Isilamu asiyekufa. An infidel who does you good turn is not like a Muslim who does not
42. Kamba hukatika pabovu. A rope parts where it is thinnest.
43. Kanga hazai ugenini. A guine- fowl not lay eggs on strange places
44. Kawaida ni kama sheria. Usage is like law
45. Kawia ufike. Better delay and get there.
46. Kazi mbaya siyo mchezo mwema. A bad job is not as wothless as a good game
47. Kelele za mlango haziniwasi usingizi. The creaking of the door deprives me of no sleep.
48. Kenda karibu na kumi. Nine is near ten.
49. Kiburi si maungwana. Arrogance is not gentlemanly.
50. Kichango kuchangizana. Everyone should contribute when collection is made. 51. Kidole kimoja hakivunji chawa. One finger canot kill a louse.

Monday, August 8, 2011

Misamiati

AKIDI: idadi ya watu inayoridhisha kuchukua maamuzi fulani juu ya jambo fulani.

MANIFESTO: Azimio la chama kuelezea msimamo wa chama kuhusu tukio au wazo fulani kulingana na sera au mpango wa chama.

BARAKALA: Mtu anayejipendekeza kwa watu wenye mamlaka ili apate cheo au mamlaka sehemu fulani.

Friday, August 5, 2011

Je, unajuwa maana ya haya maneno?

BILA
CHINI
JUU
NDANI
NJE
ILA
HATA
BADO
HALAFU/KISHA
LABDA
MAANA/KWASABABU/SABABU
HIVI
VILE
VILEVILE
PIA
KATIKA

Hadithi ya Binti Chura - Sehemu ya kwanza

http://hadithihadithi.podomatic.com/player/web/2006-11-03T09_58_33-08_00

Hadithi ya Binti Chura imepatikana toka katika Hadithi za Mama na Mwana Radio Tanzania. 
Kwa nakala ya hadithi hii na nyinginezo wasiliana na Radio Tanzania Dar es Salaam.